Japo suala la mavazi ni utashi wa mtu, ila wapo wengine ambao hawajui utashi wao unamipaka. Unaweza kukutana na mtu iwe mwanakaka/mwanadada nguo aliyovaa lazima umwangalie mara mbili mbili ili kuzuia hiyo makanisa mengi yameamua kuweka sheria japo bado kuna vichwa ngumu wengi ambao wao huwa wanajifanya ni wagumu. Leo nimeona tukumbushane baada ya kukutana na bango lililowekwa moja ya makanisa ya jiji la Dar es Salaam.
Home
DINI
HABARI ZA KIJAMII
MAISHA NA MAHUSIANO
ZINGATIA USIJE UKAAIBIKA; BAADHI YA MAVAZI YASIYOTAKIWA KANISANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: