Bw. Maher Albarwani (aliyevaa kofia) akiwa katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Urithi Festival.
Hii ndio Pikipiki aliyosafiri nayo Bw. Maher Albarwani kutoka Oman mpaka Tanzania akipita nchi mbalimbali Duniani.
Balozi wa Heshima kutangaza Pori la Akiba-Selous Miss Journalism Tanzania Witness Kavumo(kushoto) akiwa na Bw. Maher Albarwani wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Urithi jijini Dodoma
Mdau wa mambo ya Utalii Bw. Festo Mazuguni (Kushoto) akiwa na Bw. Maher Albarwani uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Kutoka kushoto ni Balozi wa Heshima kutangaza Pori la Akiba-Selous Miss Journalism Tanzania Witness Kavumo, Bw. Maher Albarwani aliye safiri na pikipiki kutoka Oman mpaka Tanzania na Naomi Mbilinyi ambaye ni Afisa Utalii kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) wakiwa katika Banda la Utalii. Picha na Fredy Njeje.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: