Mtaalam wa ndege tiara kutoka kampuni ya China TOPRS Tech Limited, Yu Jing Run akiiandaa ndege tiara tayari kwa kuirusha katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Septemba 12 2018, wakati wa uzinduzi wa ndege hiyo itakayokusanya taarifa na upimaji ramani. Wanaoshuhudia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa (wa tatu kushoto), Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (Taaluma), Profesa Gabriel Kassenga na wana taaluma mbalimbali.Mhandisi upimaji ramani wa kampuni ya China TOPRS Tech Limited, Ren Ya Feng akitoa muhtasari wa jinsi ndege tiara inavyofanya kazi muda mfupi kabla ya kuirusha kwa upigaji picha jijini cha Dar es Salaam Septemba 12 2018. Katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa, Naibu Mkuu wa chuo Kikuu Ardhi (Taaluma), Profesa Gabriel Kassenga (Kushoto Makamu Mkuu) na wana taaluma mbalimbali.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa akifafanua jambo kwa wageni mbalimbali walioshiriki uzinduzi huo.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wageni na wataalam walioshiriki uzinduzi huo.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wageni na wataalam walioshiriki uzinduzi huo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: