Asanteni Team Lake zone....Asanteni sana Wana wa iliyokua LAPF Tanzania (HQ, Northern Zone, Southern Zone, Central, Dar Zone,Western Zone)

Asanteni sana Wana VodaCom (staff marafiki walipo bado na wale ambao tulishaondoka Vodacom) asanteni sana...

Asanteni sana ndugu zetu NMB niseme Nini tena?Mungu azidi kuwabariki nyote....

Asanteni sana ndugu zetu Wana FB hapa...kuna jambo nimejifunza...asanteni sana....

Marafiki zetu wa Songea Boyz, Zanaki na Jitegemee Mgulani,Makerere na Ustawi wa Jamiii

Wazee Wetu na ndugu zetu kina Mwakifulefule na Wa Swai
Madaktari Muhimbili (Dr Kweka, Dr Mkopi) na wengineo ambao sikiweza kuwafahamu Mara moja

Jumuiya ya wafanya Biashara na majirani kule Kyela

Ndugu Zangu ,Moyo wangu UMEKUBALI,AKILI PIA IMEKUBALI KWAMBA NI KWELI SI NDOTO....

..Nimerudi tena kazini..na tuendelee kuwatumikia Wananaichi...

Ni mimi,

Mwaky & Sharon — at Mwanza Rock City Mall Mwanza.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: