Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiuandaa mti kabla ya kuupanda kwenye shamba la miti la Buhigwe, kushoto anayemsaidia Makamu wa Rais ni Meneja Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Kanda ya Magharibi Bw. Valentine Msusa
Add caption
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye mti wa kumbukumbu alioupanda kwenye shamba la miti la Buhigwe katika kijiji cha Munzenze wilaya Buhigwe mkoani Kigoma.
Sehemu ya miche laki mbili na nusu iliyopandwa kwenye shamba la miti Buhigwe mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wanaoishi jirani na shamba la miti la Buhigwe katika kijiji cha Munzenze wilaya Buhigwe mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako pamoja na Mbunge wa Jimbo la Buhigwe Mhe. Albert Obama wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Munzenze, Buhigwe mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubiwa wananchi katika kijiji cha Munzenze, Buhigwe mkoani Kigoma.
Sehemu ya Wakazi wa kijiji cha Munzenze waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: