NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, (wa tatu kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika na Reli Tanzania TRC, Masanja Kadogosa (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo, Prof. John Kondoro (wa pili kushoto), Mkuu wa msambazaji, Riaz Lodhi (wa tatu kulia) Meneja Uhusiano Jamilla Mbarouk (kulia) na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Wateja wa shirika hilo, Catherine Moshi (kushoto) kwa pamoja wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Logo mpya ya Shirika hilo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za TRC jijini Dar es Salaam, jana.
 NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, (katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika na Reli Tanzania TRC, Masanja Kadogosa (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo, Prof. John Kondoro (wa pili kushoto), Mkuu wa msambazaji, Riaz Lodhi (wa pili kulia) na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Wateja wa shirika hilo, Catherine Moshi (kushoto) kwa pamoja wakionyesha bendera yenye nembo mpya ya TRC kuashiria uzinduzi rasmi wa Logo mpya ya Shirika hilo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za TRC jijini Dar es Salaam, jana. (Picha na Muhidin Sufiani).
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, (wa tatu kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika na Reli Tanzania TRC, Masanja Kadogosa (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo, Prof. John Kondoro (wa tatu kushoto), Mkuu wa msambazaji, Riaz Lodhi (wa pili kulia) na Kaimu Meneja wa Huduma kwa Wateja wa shirika hilo, Catherine Moshi (wa pili kushoto) kwa pamoja wakionyesha bendera yenye nembo mpya ya TRC kuashiria uzinduzi rasmi wa Logo mpya ya Shirika hilo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye ofisi za TRC jijini Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Mtaalamu wa masuala ya Kijamii wa shirika hilo, Catherine Mroso. (Picha na Muhidin Sufiani).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: