Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Simba na Young Africans utakaochezwa Septemba 30,2018.
Viingilio vya mchezo huo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa VIP A shilingi 30,000

VIP B na C shilingi 20,000,Viti vya rangi ya Machungwa, Bluu na Kijani shilingi 7,000

Tiketi zitaanza kuuzwa kuanzia Septemba 20,2018 kupitia Selcom.

Wahi kununua tiketi yako mapema kwa kupitia kadi ya Selcom ambayo inakupa urahisi wa kununua tiketi yako.

Kadi za Selcom zinapatikana kwa mawakala waliopo sehemu mbalimbali nchini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: