Maharusi wakiwa na sura za furaha Bwana Mansweat na Bibi. Pellagia Masinda mara baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Holly Cross Kitete, Arusha. Kajunason Blog inawatakia maisha mema yenye baraka.
Bwana Harusi Mansweat na Bi. Pellagia Masinda wakifunga pingu za maisha katika Kanisa la Holly Cross Kitete, Arusha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: