Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Eto'o, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Eto'o, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi yenye jina la Mchezaji huyo ambaye pia ni Balozi wa Bia ya Castle Lager, Samuel Eto'o, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mkono na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Eto'o, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Eto'o (kulia kwake) na Balozi wa Bia ya Castle Lager hapa nchini, Ivo Mapunda (kushoto kwake), pamoja na ujumbe walioambatana nao.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikiwa ameambatana na Mgeni wake Mchezaji Samuel Etoo na ujumbe wake wakati akiwasindikiza baada ya mazungumzo yao leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Eto'o, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Msanii Dokii kwa Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Eto'o, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: