Wasanii walioingia Tano Bora wakiwa kwenye picha ya pamoja na chief judge Adam Mchomvu.
Majaji wa shindano la kusaka wasanii wenye vipaji Tigo Fiesta Supa Nyota mkoani Iringa wakiongozwa na Adam Mchomvu (wapili toka kulia) wengine toka kushoto ni Rodgers Eight, Lord Eyes na kulia Joh Makini mchuano uliofanyika leo mjini Iringa
Wasanii wawili walipita kwenye mchujo wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2018 mkoani Iringa Ester Queen na TTP ambao itawabidi wapande Leo usiku kwenye jukwaa la Tigo Fiesta kupata mshindi atayeiwakilisha Iringa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: