Meza kuu ikiwa kwenye zoezi la mchujo wa kumpata mwakilishi wa Mtwara, kutoka kushoto, Mshindi wa Tigo Supa Nyota 2017, Maarifa Mac, Adam Mchomvu, Fid Q na Edgar Mzoka a.k.a Smarter.
Mshiriki aliyeingia wawili Bora kwenye shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota toka Mtwara,Mbuta The Swagz akionesha uwezo wake kwenye steji, na jioni ya leo atapanda jukwaa la Tigo Fiesta kupata mwakilishi wa Mtwara.
Mshiriki aliyeingia wawili Bora kwenye shindano la kusaka vipaji la Tigo Fiesta Supa Nyota toka Mtwara,Young Ney akionesha uwezo wake kwenye steji, na jioni ya leo atapanda jukwaa la Tigo Fiesta kupata mwakilishi wa Mtwara.
Msanii Farid Kubanda Fid Q (katikati) akiwa kwenye majukumu ya kufanya mchujo
Majaji wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki waliofika tano Bora.

Wasanii wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Duka la Tigo Mtwara leo
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: