Muwakilishi wa Taasisi ya Msichana Initiative, Eugine Shao, akizungumza na wanahabari umuhimu wa kuhadhimisha siku ya Msichana Duniani na Malengo ya Taasisi yao katika kumlinda Mtoto wa Kike hili aweze kufikia malengo sanjari na kupata elimu.
Mourine Richard Kutoka Taasisi ya Her Initiative akizungumza umuhimu wa Mtoto wa kike kujiamini na kuwataka wanaume kuondoa dhana ya kuwanyanyapaa Wanawake kwa umri.

Dada Viola akitoa mada kwa wasichana waliohudhuria kongamano katika kuadhimisha siku ya Msichana Duniani kwa kuwataka waweze kujiamini.
Mmoja wa wadau walioshiriki katika Kongamano la siku ya Msichana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Nafasi Art Space jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wasichana walioshiriki katika Kongamano siku ya Msichina Duniani katika Ukumbi wa Nafasi Arts Space.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: