Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Rwanda Mhe.Edda Mukabagwiza akiwa miongoni mwa ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai (wa pili kulia), walipofika Ikulu Mjini Zanziobar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed SheiN akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe. Job Ndugai wakati alipoongoza ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe. Job Ndugai baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika, ulipofika Ikulu Mjini Zanziobar leo. Picha na IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: