Msanii Chipukizi aliyeingia Mbili Bora almaarufu, Single Baba akinyanyua mikono juu mara baada ya kutangazwa kupanda jukwaa la Tigo Fiesta jioni ya leo uwanja wa Majimaji Songea, jumla ya wasanii wawili watachuana kumpata mwakilishi wa mkoa wa Ruvuma.

Majaji wakiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wawili nyuma waliosimama na chini toka kushoto ni jaji Man C toka Jogoo Fm, Adam Mchomvu, Chege na Joh Makini.
Wasanii waliongia mchujo wa mwisho utaofanyika jioni ya leo kwenye jukwaa la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote uwanja wa Majimaji, kushoto ni Single Baba na Yatosha.
Meza ya Majaji wakiongozwa na Chief Judge, Adam Mchomvu (wapili kushoto) wengine toka kushoto ni Chege,Man C na Joh Makini.
Baadhi ya wateja wa Tigo wakipokea zawadi toka kwa wasanii mbalimbali
Baadhi ya wateja wa Tigo wakipokea zawadi toka kwa wasanii mbalimbali
Msanii Ruby akimkabidhi zawadi mteja wa Tigo, Fatuma Komba leo
Baadhi ya wateja wa Tigo wakipokea zawadi toka kwa wasanii mbalimbali
Wasani watakaopanda jukwaa la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote uwanja wa Majimaji Songea jioni ya leo wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Duka la Tigo lililopo mtaa Itundu Songea.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: