Moja kati ya washindi wawili wa Tigo Fiesta Supa Nyota mkoani Rukwa, Tigani Tozi akionyesha uwezo wake wa staili ya kufokafoka kwenye shindano la kutafuta vijana wenye vipaji vya muziki mkoani humo leo
Moja kati ya washindi wawili wa Tigo Fiesta Supa Nyota mkoani Rukwa, Robby Gitaa akionyesha uwezo wake wa kuimba na kupiga gitaa kwenye shindano la kutafuta vijana wenye vipaji vya muziki mkoani humo leo.
 Majaji wakiongozwa na Jaji Mkuu, Adam Mchomvu (mwenye miwani), wengine toka kulia ni Afisa Michezo Manispaa ya Rukwa, Adam Evarist, Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Rukwa, Charles Kiheka na kushoto ni The Baton A ambaye alikuwa mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota mwaka jana.

Washiriki wakiwa kwenye mchujo wa mwisho uliotoa washindi wawili ambao watapanda kwenye jukwaa la Tigo Fiesta kesho uwanja wa Nelson Mandela Sumbawanga na kupata mshindi mmoja
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: