Mshindi wa Shindano la Tigo Fiesta 2018 Chemsha Bongo Trivia toka Mkoa wa Tanga, William Alloyce Mganga (katikati) akikabidhiwa zawadi ya simu aina ya Tecno Camon X toka kwa Meneja Mauzo wa Tigo mkoa wa Tanga, Robert Kasulwa(kulia) na kushoto ni Msimamizi wa Duka la Tigo mkoa wa Tanga Hassani Nkua. Ili kushiriki wateja wanapaswa kutuma neno MUZIKI kwenda 15571 au kutembelea tovuti ya http://tigofiesta.co.tz na kuchagua Trivia. 
Mshindi wa Shindano la Tigo Fiesta 2018 Chemsha Bongo Trivia , Zam Mohammed Zam wa Mombasa Unguja akipokea shilingi milioni moja kutoka kwa Msimamizi wa Kampuni ya Tigo tawi la Zanzibar, Adolph Mapenzi baada ya kushinda katika promosheni hiyo, makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za Tigo ziliopo Malindi Unguja
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: