Wakaazi wa Itundu mjini Songea wakiangalia simu mbalimbali kwenye duka la Tigo lililopo mtaa huo. Katika msimu huu wa Tigo Fiesta wateja wa Tigo wanapata bonasi ya hadi GB 2 baada ya kununua simu aina ya Tecno S2, R6 na ZTE-KISS 3 katija maduka yote ya Tigo nchin
Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Neema Sammy akimkabidhi mteja, Otimary Kapinga simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leo
Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Johnson Chikawe akimkabidhi mteja, Bosco Haule simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta  Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leo 
Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea Water Newton akimkabidhi mteja, John Komba simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu leo aina ya Tecno S2
Mtoa Huduma wa Duka la Tigo mtaa Itundu mjini Songea William Nombo akimkabidhi mteja, Jordan Maneno simu na tiketi aliyojishindia kwenda kuona tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote kesho mara baada ya kununua simu aina ya Tecno R6.
Wateja wa Tigo walionunua simu aina ya Tecno S2 Tecno R6 na ZTE-KISS 3 wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kupewa zawadi zao za tiketi kuhudhuria tamasha la Tigo Fiesta litalofanyika kesho uwanja wa Majimaji.


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: