Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020.
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma, Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020.
 Viongozi Waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakifuatilia kwa makini Hotuba kuhusu Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020, ikiwasilishwa Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb)
 Viongozi Waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Amina Khamis Shaaban (wa tatu kulia), wakifuatilia kwa makini Hotuba kuhusu Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020, ikiwasilishwa Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb)
 Maafisa wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakifuatilia kwa makini Hotuba kuhusu Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020, ikiwasilishwa Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb)
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Naibu Waziri wake Dkt. Ashatu Kijaji, wakiwa Bungeni Jijini Dodoma, baada ya kuwasilishwa kwa Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020.
Viongozi Waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na maafisa wa Wizara hiyo, wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Amina Khamis Shaaban, wakifuatilia kwa makini Hotuba kuhusu Mapedekezo ya Mpango wa Maendeleo wa taifa na Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2019/2020, ikiwasilishwa Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: