Katibu Mkuu Mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ali Kakurwa  akiwa na aliyekuwa Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea (CUF) (kushoto) aliyetangaza kujiuzulu leo Novemba 15, 2018 Bungeni Dodoma. Mtolea amevaa jezi la Chama cha Mapinduzi kuashiria kuwa ameshakuwa mwanachama wa chama hicho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: