Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chma Cha Mapinduzi Ndg Kheri Denis James akizungumza wakati akifungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM akizungumza wakati wa Kumkaribisha Mwenyekiti kufungua Semina hiyo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akitoa Ufafanuzi kuhusu lengo la Mafunzo haya.
Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Comred Peter Kasera akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Comred Kheri James akizungumza jambo na Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Comred Hassan Bomboko katika Ufunguzi wa Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakuu wa Idara wakifuatilia Katikati ni Comred Hassan Bomboko Mkuu wa Idara ya Uhamaishaji na Chipukizi,(Kulia)Comred Khamana Juma Simba Mkuu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Pamoja na Comred Nelson Lusekelo Mkuu wa Idara ya Uchumi na Uwezeshwaji.
Baadhi ya Watendaji waliohudhuria Semina wakifuatilia
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanao tokana na Vijana wakifuatilia
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia semina
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Comred Kheri Denis James (kulia|) pamoja na Makamu Mwenyekiti Comred Thabia Mwita wakifurahia jambo pamoja na Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Comred Hassan Bomboko leo mara baada ya Ufunguzi wa Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.(Picha zote na Fahadi Siraji wa Uvccm)
Picha ya Pamoja ya Viongozi washiriki wa Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma. (Picha zote na Fahadi Siraji wa Uvccm).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: