Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann Therese NDONG-JATTA pamoja na Mwakilishi Mpya wa UNESCO nchini Tanzania Bw. Tirsa A.S Dos Santos ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann Therese NDONG-JATTA (kushoto) na Mwakilishi Mpya wa UNESCO nchini Tanzania Bw. Tirsa A.S Dos Santos (kulia) ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: