Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alipomkaribisha Bungeni jijini Dodoma leo. Nsekela alimtembelea Spika Ndugai kwa lengo la kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela aliyemtemebelea Bungeni, jijini Dodoma leo kwa lengo la kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Ally Laay.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ujumbe wa Benki ya CRDB uliomtembelea Bungeni jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akipungua wakati alipotambulishwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kwa Wabunge jijini Dodoma leo.
Ujumbe wa Benki ya CRDB ukifatilia kikao cha Bunge, jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akibadilishana mawazo na baadhi ya Wabunge nje ya viwanja vya Bunge, jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe alipokutana naye nje ya viwavja vya Bunge, jijini Dodoma leo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: