Treni ya jiji la Dar es Salaam maarufu kama teni ya Mwakyembe imeanguka eneo la Majumba Sita kwa kudodosha mabehewa mawili ... Akizungumza mmoja ya aliyekuwa akielekea eneo la tukio amesema kuwa uongozi unafuatilia ila taarifa kamili zitawajia.

Endelea kukaa nasi habari zitawajia.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: