RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Bi. Maha Damaj, Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Umoja wa Mataifa Unaoshughulikia Maendeleo ya Watoto (UNICEF) Ofisi ya Zanzibar, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar leo ,4/12/2018.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania,Bi.Maniza Zaman,(katikati) alipofika Ikulu Zanzibar kumtambulisha Mkuu wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar Bi. Maha Damaj,kwa Rais wa Zanzibar, leo Ikulu 4/12/2018 na kufanya mazungumzo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na wageni wake kutoka Shirika la la Mfuko wa Umoja wa Mataifa Unaoshughulikia Maendeleo ya Watoto (UNICEF) katikati Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zaman na Mkuu Mpya wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar Bi. Maha Damaj, alipofika Ikulu Zanzibar kutambulishwa kwa Rais wa Zanzibar leo 4/12/2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Maniza Zaman, alipofika Ikulu Zanzibar kumtambulisha Mkuu wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar, Bi.Maha Damaj, kwa Rais wa Zanzibar. (Picha na Ikulu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: