*Zaidi ya wasanii 40 ‘Machampioni ‘kutoa burudani ya kufunga mwaka.

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Masoko wa Tigo William Mpinga (wa pili kulia) akiwa na mratibu wa Tamasha la Tigo Fiesta 2018 Gardner Habash (wa tatu kulia) pamoja na baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2018 litalaofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam Jumamosi.
Msanii Nedy Music (wa kwanza kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kutangaza Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika katika viwanja vya Posta jinjini Dar es Salam Jumamosi. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Masoko wa Tigo Masoko William Mpinga akifuatiwa na Mratibu wa tamasha hilo Gardner G Habash kutoka Clouds Media Group akifuatia na msanii Chege
Msanii Dogo Janja (wa kwanza kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kutangaza Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salam Jumamosi. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Masoko wa Tigo William Mpinga akifuatiwa na Mratibu wa tamasha hilo Gardner G Habash kutoka Clouds Media Group.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya TID, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha kuhusu ushiriki wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2018 litakalofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es siku ya Jumamosi. Kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Masoko wa Tigo William Mpinga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: