Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha kutoka Tigo Hussein Sayed, akimuuliza swali mmoja wa mawakala walihudhuria hafla ya chakula cha jioni ambapo Tigo ilitangaza promosheni ya mwisho wa mwaka inayojulikana kama Wakala Chief itakayotoa zawadi ya mamilioni kwa mawakala watakaofanya vizuri
katika biashara zao.
Meneja wa Tigo Pesa, James Sumari akizungumza na baadhi ya mawakala wa Tigo Pesa katika hafla iliyofanyika jijjini Dar es Salaam ambapo Tigo
ilitangaza promosheni ya mwisho wa mwaka inayojulikana kama Wakala Chief itakayotoa zawadi ya mamilioni kwa mawakala watakaofanya vizuri katika biashara zao.
Baadhi ya Wakurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo wakiwa katika picha ya pamoja na mawakala wa Tigo Pesa katika hafla ambapo Tigo ilitangaza promosheni ya mwisho wa mwaka kwa inayojulikana kama Wakala Chief itakayotoa zawadi ya mamilioni kwa mawakala watakaofanya vizuri katika biashara zao.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha kutoka Tigo Hussein Sayed, akitoa zawadi ya kofia lwa mmoja wa mawakala wa Tigo Pesa aliyefanikiwa kujibu
kwa usashi swali alilouliza kuhusu Tigo Pesa wakati wa hafla ya chakula cha jioni ambapo Tigo ilitangaza promosheni ya mwisho wa mwaka kwa
inayojulikana kama Wakala Chief itakayotoa zawadi ya mamilioni kwa mawakala watakaofanya vizuri katika biashara zao.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: