Bi harusi, Aisha Ally akiwa katika pozi kabla ya kufunga ndoa na Bwana harusi Abdulkarim Amani eneo la Tabata Kimanga Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 
 Bi harusi, Aisha Ally akiwa katika moja ya pozi kabla ya kufunga pingu za maisha na Bwana harusi Abdulkarim Amani eneo la Tabata Kimanga Dar es Salaam 
 Bi harusi, Aisha Ally akiwa katika pozi 
 Bi harusi, Aisha Ally akiwa katika pozi kabla ya kufunga ndoa na Bwana harusi, Abdulkarim Amani eneo la Tabata Kimanga Dar es Salaam 
 Bwana harusi, Abdulkarim Amani  akiwa amempakata mke wake, Aisha Ally mara baada ya kufunga ndoa nyumbani kwao na bi harusi Januari 04, 2019 , Tabata Kimanga Dar es Salaam

 Bi harusi Aisha Ally, akipongezwa na madada na marafiki   mara baada ya kufunga ndoa yake na mume wake, Abdulkarim Amani Januari 04, 2019, Tabata Kimanga Dar es Salaam
 Mwalimu Asia Mayumana (kulia) akiwa katika picha na wadogo zake, kuanzia kushoto ni Shida Mayumana na Halima mayumana ambaye ni Muuguzi Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akiwa na mjukuu wao ambapo jina halikuweza kupatikana mara moja
 Bi harusi Aisha Ally akiwa katika picha ya pamoja na ndugu zake 
 Maandalizi ya chakula yakiendelea 
 Aisha Ally (kushoto) akipiga picha ndugu zake akitumia simu yake kabla ya ndoa yake kufungwa Januari 04, 2019, Tabata Kimanga Dar es Salaam
 Bi harusi, Aisha Ally katika picha na ndugu zake baada ya ndoa yake iliyofungwa nyumbani kwao Tabata Kimanga Dar es Salaam 
 Bwana harusi, Abdulkarim Amani akimbusu eneo la uso mke wake, Aisha Ally mara baada ya kufunga ndoa yao nyumbani kwao na Bi harusi Tabata Kimanga Dar es Salaam  
 Bwana harusi Abdulkarim Amani akiwa katika mpozi na mke wake Aisha Ally mara baada ya kufunga ndoa yao nyumbani na bi harusi Tabata Kimanga Dar es Salaam 
 Bwana harusi, Abdulkarim Amani (kulia) na mke wake Aisha Ally kushoto wakiwa katika picha ya maoja na wajomba wa Biharusi mara baada ya kufunga ndoa nyumbani kwao na bi harusi Tabata Kimanga Dar es Salaam 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: