Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Alikiba na Abdukiba mzee mzee Saleh Kiba amefiwa na baba yake mzazi mapema leo alfajiri ya leo January 17, 2019 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Taarifa hizi zimethibitishwa na mmoja wa mwanafamilia ya Alikiba na kusema kwa sasa msiba upo nyumbani kwao na atazikwa leo majira ya saa 9 jioni katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: