Mkurugenzi Mkuu wa Mzinga Holdings Company, Meja Jenerali, Seif Makona ambaye ndiyo Mkandarasi anayejenga Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji mpya wa serikali akiteta na Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Matamwe, wakati Mkurugenzi Matamwe alipotembelea eneo la ujenzi wa ofisi hiyo, leo tarehe 17 Januari, 2019.
 Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali, Jimmy Matamwe akiangalia shughuli za ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji mpya wa serikali, Ihumwa, Dodoma, leo tarehe 17 Januari, 2019.
Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali, Jimmy Matamwe akiongea na Mratibu Ujenzi Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu kutoka Mzinga Holdings Company, Kapteni Erick Siara wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa Ofisi hiyo, katika Mji mpya wa serikali, Ihumwa, Dodoma, leo tarehe 17 Januari, 2019.
Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali, Jimmy Matamwe akiongea na moja ya mafundi kutoka Mzinga Holdings ompany wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji mpya wa serikali, Ihumwa, Dodoma, leo tarehe 17 Januari, 2019.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: