#TenYearsChallenge... Haya mapenzi bhana, aliyeninyang'anya mke na yeye akaja kunyang'anywa hivyo tukakosa wote.Kutoka mume wa mtu mpaka single boy.. Alafu watu wananiambia, "Mbasha utaoa lini" Jibu langu ni "Bado nipo nipo kwanza.sijamwona wa kumuoa.Ndoa ni mchezo wa pata potea, hivyo sio kitu cha kukimbilia, maana ukibahatika ndoa inaweza kuwa Paradiso, ila ukichemka inakuwa Jehanam. Matokeo yake unakuwa unateketea hapa duniani, alafu motoni Mungu anakwenda kumalizia majivu tu. Kutoka baba wa familia mpaka bachela. sasaivi ni Bata batani kulala uzeeniπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΎ‍♀πŸƒπŸΎ‍♀πŸƒπŸΎ‍♀Yesu moyoni, akili kichwani, pesa mfukoni. Hapa ni mwendo wa injili na bata.. Wamarekani wanasemaga Forever young.... #KwaniMnateseka
#NATAKAHABARINJEMA
#SitakiHabariMbaya 20019

Haya ndiyo aliyoyaandika kwenye ukurasa wake wa Facebook...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: