Heri ya mwaka mpya...

Karibuni tule sahani ya biriani ikiwa ni sehemu ya kutafuta Ada za kupeleka watoto wenye ualbino wengi zaidi mashuleni. Itakua jumapili hii ya tarehe 6 Januari 2019, ukumbi wa Malaika, nyuma ya jengo la sayansi. Utalia sahani gani? Ya Dhahabu 50,000/= Tsh, ya Fedha 30,000/= Tsh au ya shaba 10,000/=? Burudani ya band ya kizazi kipya itatumbwiza kwa masaa manne mfululizo, karibuni tusaidie watoto wetu kupata elimu.

Waandishi wenzangu, ndugu zangu wanamuziki niliowahi kusaidia kuwatangaza kadri nilivyoweza, ndugu jamaa na marafiki.
Naomba kuungwa mkono;

Wako Henry Mdimu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: