RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia na kumpa mkono wa pole Ndugu wa Marehemu Bi. Johari Yussuf Akida,alipofika nyumbani kwao Mwanakwerekwe na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, kutowa mkono wa pole leo 13/1/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, atowa mkono wa pole kwa Wanafamilia ya Marehemu Bi. Johari Yussuf Akida, aliyefariki wiki iliopita, katikati Mtoto wa Marehemu Bi. Shawana Buheti,anayefuata Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, walipofika katika makaazi yao Mwanakwerekwe kutowa mkono wa pole leo 13/1/2019. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimfariji Mtoto wa Marehemu Bi. Johari Yussuf Akida, muasisi wa CCM.katikati Bi.Shawana Buheti na kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar. Mama Mwanamwema Shein, walipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Unguja kutowa mkono wa pole leo. 13/1/2019.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: