Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai. (Kushoto) akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kiraia ya Haki elimu Tanzania, Dkt. John Kalage , (katikati) na Meneja Uhusiana na Mawasikiano wa GSM Tanzania, Matina Nkurlu wakati wa hafla ya uzinduzi mashindano ya Usalama barabarani ‘Kamanda Cup’ katika viwanja vya Tanganyika Pakers jijini Dar es Salaam.Jumla ya timu 128 za waendesha bodaboda wa mkoa wa Dar es Salaam zinashiriki , Lengo la michuoano hiyo ni kutoa elimu kwa madereva wa vyombo vyamoto, mashindano hayo yameandaloiwa na jeshi la Polisi kwa udhaminiwa na kamapuni ya GSM Tanzania.
Meneja Uhusiana na Mawasikiano wa GSM Tanzania, Matina Nkurlu akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi mashindano ya Usalama barabarani ‘Kamanda Cup’ katika viwanja vya Tanganyika Pakers jijini Dar es Salaam.Jumla ya timu 128 za waendesha bodaboda wa mkoa wa Dar es Salaam zinashiriki , Lengo la michuoano hiyo ni kutoa elimu kwa madereva wa vyombo vya moto, mashindano hayo.
Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai. (Kushoto) akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kiraia ya Haki elimu Tanzania, Dkt. John Kalage boksi lenye vipeperushi vyenye ujumbe wa usalama barabarabani wakati wa hafla ya uzinduzi wa mashindano ya Usalama barabarani ‘Kamanda Cup’ uliofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers jijini Dar es Salaam.Jumla ya timu 128 za waendesha bodaboda wa mkoa wa Dar es Salaam zinashiriki , Lengo la michuano hiyo ni kutoa elimu kwa madereva wa vyombo vyamoto, mashindano hayo.
Kamishina Msaidizi wa Polisi na Mkuu wa Operesheni Kikosi cha Usalma barabarani Makao Makuu ,Abdi Issango, ( Kulia ) akiongozwa na Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai (wapili kulia) kwenda kuzindua michuoano ya Usalama barabarani” Kamanda Cup” inayofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers jijini Dar es Salaam.Jumla ya timu 128 za waendesha bodaboda wa mkoa wa Dar es Salaam zinashiriki , Lengo la michuoano hiyo ni kutoa elimu kwa madereva wa vyombo vyamoto, mashindano hayo.
Kamishina Msaidizi wa Polisi na Mkuu wa Operesheni Kikosi cha Usalama barabarani Makao Makuu ,Abdi Issango, ( Kulia ) akisalimiana na Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa GSM ,Matina Nkurlu. Wakati wa uzinduzi wa michuoano ya Usalama barabarani” Kamanda Cup” inayofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers jijini Dar es Salaam.Jumla ya timu 128 za waendesha bodaboda wa mkoa wa Dar es Salaam zinashiriki , Lengo la michuoano hiyo ni kutoa elimu kwa madereva wa vyombo vyamoto, mashindano hayo yameandaloiwa na jeshi la Polisi kwa udhaminiwa na kamapuni ya GSM Tanzania.Kushoto ni Mrakibu wa jeshi la Polisi na Mkuu wa Kitengo cha elimu Tanzania, Abel Swai.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: