Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Juma Homera ametoa wiki tatu kwa waganga wa Jadi na Tiba Asilia kujisajili kisheria ili kupata leseni za kufanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Agizo hilo amelitoa wakati akifungua mkutano kwa waganga wa Jadi na Tiba Asilia wa wilaya hiyo ambao ulioandaliwa na shirikisho la vyama vya Tiba Asilia Tanzania na kuhudhuriwa na mwenyekiti wa shirikisho Taifa Abrahamani Lutenga.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: