Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Hamisi Kigwangalla amekutana na kufanya mazungumzo na Wakala wa watalii kutoka Beijing nchini China, Bw.He Liehui ambaye kwa mwaka huu amepanga kuwaleta watalii 10,000 nchini Tanzania na kwa sasa yupo nchini kwa ajili ya kufanya maandalizi ya watalii hao.

Mazungumzo hayo kati yao yamefanyika katika ofisi ndogo ya Wizara hiyo Mpingo House jijini Dar es Salaam

Aidha, Wakala huyo Bw.He anatarajia pia leo kuonana na Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe.Kassim Majaliwa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: