Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) akimwapisha Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea , Bungeni jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa Mwaka 2018, Bungeni jijini Dodoma, Januari 29 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kiembe Samaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi kutoka jimbo la Kilwa Kusini waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao Selemani Bungara, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: