Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma inashika nafasi ya pili kwa mimba za utotoni kimkoa. Mkuu wa Wilaya hiyo Sophia Mfaume anaelezea changamoto anazokumbana nazo pamoja na mikakati ya Wilaya katika kuhakikisha tatizo hilo linatoweka katika wilaya hiyo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: