Mshauri na mwanasaikolojia Dkt Chris Mauki akiongea na wachezaji na viongozi wa Timu ya Taifa Stars ili kuweza kuwajengea uwezo wa kumshinda adui.
Hili jambo watu wengi wamekuwa wakilisahau katika mbinu za ushindi... hauwezi fanya mazoezi yakakupa ushindi bila kupewa maneno ya faraja yanayokujengea nguvu na hamasa ya kuweza kuwa mshindi.

Mshauri na mwanasaikolojia Dkt Chris Mauki aliongea kabla ya mechi Machi 21, 2019  kuwajengea uwezo vijana na kuwapa mbinu za kuweza kushinda ili kuweza kufikia malengo ya kuweza kuwakilisha nchini katika mashindano ya AFCON 2019.

Hili jambo ni moja ya siri ya ushindi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: