Baadhi ya wakulima wa Korosho Kijiji cha LINGUSANGUSE Wilaya ya NAMTUMBO Mkoani RUVUMA wameulalamikia uongozi wa Chama cha Msingi cha MJIMWEMA kwa kuwaibia kilo za korosho na kutowalipa stahiki zao. Malalamiko hayo wameyatoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa RUVUMA, CHRISTINA MNDEME alipotembelea kijijini hapo kwa lengo la kusikiliza kero zinazowakabili.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: