Mhamasishaji Maarufu wa Timu ya Taifa Stars, Ndg. Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid akitambulishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Spika wa Bunge, Mhe. Job ndugai (hayupo kwenye picha) aliemualika kama mgeni wake. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza jambo wakati akiongoza Kikao cha 2 cha Mkutano wa 15 wa Bunge la 11 leo Bungeni Jijini Dodoma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: