Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa ndege ya Bombadier Q400 ya ATCL aliyotumia kusafiria kutoka Dar es salaam hadi Mtwara alikoanza ziara ya kikazi ya siku tatu leo Aprili 2, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiongozxana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasisius Byakanzwa alipowasili kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu leo Aprili 2, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasisius Byakanzwa na viongozi wengine alipowasili kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu leo Aprili 2, 2019. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: