Shukrani zangu za pekee ziwaendee wafanyakazi wa Mamlaka ya MajiSafi na MajiTaka (DAWASA) kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano kinachoongozwa na Meneja Uhusiano wa Jamii Bi. Neli Msuya kwa kuniwezesha wote kunipa furaha katika kumbukizi ya siku yangu  ya kuzaliwa Cathbert Angelo Kajuna Aprili 10, 2019. Mwenyezi Mungu azidi kuwazidishia pale mlipotoa. Asanteni sana.

Mwandishi Mpigapicha wa Kajunason/MMG Blog, Cathbert Kajuna akikata keki aliyoandaliwa na wafanyakazi wa DAWASA kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano wakati akisherekea kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.

 Meneja Uhusiano wa Jamii wa DAWASA Bi. Neli Msuya akimlisha keki Mwandishi Mpigapicha wa Kajunason/MMG Blog, Cathbert Kajuna aliyekuwa akisherekea kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.
Meneja Uhusiano wa Jamii wa DAWASA Bi. Neli Msuya akilishwa keki.
Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa DAWASA, Evelasting Lyaro akilishwa keki.


 Mwandishi wa Nipashe Monyo akilishwa keki.
 Afisa Mawasiliano wa DAWASA Joseph Mkonyi akilishwa keki.
 Mwandishi wa Mtanzani Tunu akilishwa keki.
 Mwandishi wa Blogu ya Jamii (Michuzi Blog) Zainabu Nyamka akiliskwa keki.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: