Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia.Mei 27, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob zawadi ya vitabu vya Kamusi Kiswahili na Kiingereza pamoja na Vitabu mbalimbali vya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya kujifunza lugha hiyo. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje, Kikanda, Mimataifa na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Kinyago na Picha ya Wanyama mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ya Namibia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Kinyago na Picha ya Wanyama mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ya Namibia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Namibia kulia kwake ni Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob akishuhudia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob wakati wa nyimbo za mataifa mawili zikipigwa katika viwanja vya Ikulu ya Namibia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la Heshma aliloandaliwa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Namibia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob mara baada ya kuwasili.(PICHA NA IKULU).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: