Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Baraza hilo mapema hivi karibuni jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce Chandika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce Chandika akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Hospitali hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Baraza hilo mapema hivi karibuni jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Zainabu Chaula.[/caption]








Toa Maoni Yako:
0 comments: