Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille Ofisini kwake Jijini Dodoma mapema leo wakati Spika huyo wa Rwanda akiwa ameambatana na Wabunge wawili walipoanza ziara ya siku tatu ya kutembelea Bunge la Tanzania.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akimkaribisha Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille katika meza yake wakati alipomtembeza katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akimueleza jambo Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille wakati alipomkaribisha kukaa katika kiti chake cha Uspika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille pamoja na Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa ziara ya Spika huyo wa Rwanda katika Bunge la Tanzania.


Spika wa Bunge (wapili kulia) akizungumza wakati wa kikao kati ya Wajumbe kutoka Bunge la Tanzania na Wajumbe kutoka Bunge la Rwanda wakiongozwa na Spika wa Bunge hilo Mukabalisa Donatille (wa pili kushoto) Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akimkabidhi picha ya Jengo la Bunge Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille Ofisini kwake Jijini Dodoma. (PICHA NA BUNGE).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: