Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya kampuni mama ya kimataifa ya ABInBeb, imeshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu Duniani mwishoni mwa wiki iliyopita.

Katika maadhimisho hayo kampuni iligawa kinywaji chake pendwa kisicho na kilevi cha Gland Malt, kwa wananchi walioshiriki katika zoezi la utoaji wa damu pia wafanyakazi wake walijitolea kutoa damu.
Mratibu wa matukio wa TBL Mwanza akigawa kinywaji cha Gland Malt kwa baadhi ya wananchi waliojitokeza kuchangia damu katika viwanda cha furahisha jijini Mwanza.

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL kiwanda cha Ilala jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kujitolea kutoa damu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: