Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana na dereva wa treni ya TAZARA iliyomchukua kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro Ijumaa Julai. 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa TAZARA alipowasili stesheni ya Dar es salaam baada ya kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro Ijumaa Julai. 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wananchi katika stesheni ia Kisaki wakati akiondoka kwa treni ya TAZARA iliyomchukua kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro Ijumaa Julai. 26, 2019. PICHA NA IKULU.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: