Hapa karibu tumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu Hamis Kilomoni kuwa mdhamini wa klabu yetu ya Simba

Hamisi Kilomoni ambaye alikuwa ni mdhamini wa Baraza la Simba, amekuwa akipita kwenye vyombo vya habari akieleza habari za klabu yetu

Kuanzia leo tunatangaza kuwa Mzee Kilomoni sio tena mdhamani wa Baraza la Simba na mkataba wake haupo tena, maana mkataba ulikamilika October 2017

Na kwa msisitizo zaidi maswala yake tumeyafunga leo hatutaliongelea tena swala zaidi hatua za kisheria zitafata:- Magori
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: