Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga Push Up na wasanii wa Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri ya kutumbuiza msanii wa Tanzania One Theatre (TOT) Plus Khadija Omar Kopa wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi kwa furaha akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry bin Ally na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wakielekea kukata utepe wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akishuhudiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine kuashiria ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakifurahia baada ya kuingia kwenye ndege ya ATCL aina ya Dreamliner iliyotua kutokea Mumbai wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Wapiga picha wakifurahia kupigwa picha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ndani ya ndege ya Dreamliner ya AITCL iliyowasili kutoka Mumbai wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaonesha picha alizowapiga wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa ndani ya ndege ye ATCL ya Dreamliner iliyotua kutoka Mumbai wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakipigwa picha na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa ndani ya ndege ye ATCL ya Dreamliner iliyotua kutoka Mumbai wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry bin Ally wakitembezwa sehemu mbalimbali wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea kwa furaha na wafanyakazi wa Tawi la Benki ya NMB lililoko ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuufungua rasmi leo Alhamisi Agosti 1, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na marubani wa ndege ye ATCL ya Dreamliner waliotua kutoka Mumbai wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiondoka baada ya kuhitimisha sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Wanaowakilisha nchi mbalimbali hapa nchini akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Job Ndugai, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula, na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry bin Ally na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wakielekea kukata utepe wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Agosti 1, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa Serikali mara baada ya kuzindua rasmi jengo la abiria (Terminal 3) la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini uliofanyika leo 01 Agosti 2019.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: