Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akiwa na maafisa wa jeshi hilo kutoka Makao Makuu ya Polisi pamoja na Kamanda wa Mkoa wa Kigoma ACP Martin L. Otieno akisikiliza kero mbalimbali kutoka kwa wananchi wa wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma. Wilaya hiyo ambayo inapakana na Buirundi inatumiwa kama uchochoro wa kuingiza silaha haramu na hivyo kuleta shida za kiusalama kwa wananchi pamoja na wafanyabiashara wa soko la Sophia.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akiwa na maafisa wa jeshi hilo kutoka Makao Makuu ya Polisi pamoja na Kamanda wa Mkoa wa Kigoma ACP Martin L. Otieno akisikiliza kesro mbalimbali kutoka kwa wananchi wa wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma. Wilaya hiyo ambayo inapakana na Buirundi inatumiwa kama uchochoro wa kuingiza silaha haramu na hivyo kuleta shida za kiusalama kwa wananchi pamoja na wafanyabiashara wa soko la Sophia.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akiwa na maafisa wa jeshi hilo kutoka Makao Makuu ya Polisi pamoja na Kamanda wa Mkoa wa Kigoma ACP Martin L. Otieno akisikiliza kesro mbalimbali kutoka kwa wananchi wa wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma. Wilaya hiyo ambayo inapakana na Buirundi inatumiwa kama uchochoro wa kuingiza silaha haramu na hivyo kuleta shida za kiusalama kwa wananchi pamoja na wafanyabiashara wa soko la Sophia. (PICHA NA JESHI LA POLISI).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: